Into Their Own Hands: Kenya’s Largest Slum Tames COVID-19

By HENRY OWINO When Covid-19 was first reported by the World Health Organization (WHO) in March 2020 as a pandemic

Vijana Wabadilisha Kinyesi Kuwa Nishati Eneo la Sebei

Na Melanie Aayou Kundi moja la vijana, wengi wao wakiwa wa kike wilayani Kapchorwa, iliyoko eneo ndogo la Sebei, mashariki

Kuleta mabadiliko: Jinsi shirika moja mashinani linazuia mimba ambazo hazikukusudiwa

Na Fredrick Mugira Punde Rais wa Uganda, Yoweri Museveni alipoongeza muda wa amri ya kutotoka nje nchi nzima ili kukomesha

Manusura wa Mporomoko Wa Ardhi Eneo la Mlima Elgon, Wapanda Miti 30,000 Kupitia Akiba ya Kikundi cha Kijiji, Ili Kupambana na Tabia Nchi

Na Javier Silas Omagor Miaka mitano iliyopita wakati Musa Mandu alimufahamisha mke na jamii yake kwamba atawachana na kazi yake

Wakimbizi Wageuza Kinyesi Cha Binadamu Kuwa Kuni Mbadala Ya Kupikia Kwa Madhumuni Ya Kuhifadhi Miti Na Kukabiliana Na Tabia Nchi

Na Robert Ariaka Kundi la wanawake wakimbizi wa Sudan Kusini wilayani Arua, wanatengeneza matofali kutokana na kinyesi cha binadamu ili

Vijana Nchini Rwanda Wachukuwa Usukani Katika Utunzi wa Tengamaji wa Nyabarongo

Na Aimable Twahirwa Ni masaa ya asubuhi Jumatatu moja lenye joto jingi huko Nyamagabe,  ambayo ni wilaya iliyo na milima

Green Horizon, mradi wa usalama wa chakula washughulikia maslahi ya jamii za Jebel Ladu huku ukikuza mazao kutuliza janga la njaa nchini Sudan Kusini

Zaidi ya hektari milioni 2.5 ya ardhi nchini Sudan Kusini imetwaliwa na wawekezaji haswa wa kimataifa tangu mwaka wa 2006

Mabishano Ya Kinamasi Cha Yala: Ahadi Zilizovunjika, Ardhi Imebakia Mahame

Ripoti hii imefanikishwa kwa ushirikiano wa InfoNile na Code for Africa na usaidizi kutoka kwa Pulitzer Center Na Geoffrey Kamadi