Upanzi Miti Nchini Kenya Yawasaidia Wakulima Kuepuka Ukame na Umaskini
Farmer Jonathan Kituku Mung’ala takes stock of his Melia volkensii trees at his farm in Kibwezi, southern Kenya, on February 5, 2019. Thomson Reuters Foundation/Kagondu Njagi.

KIBWEZI, Kenya, March 25 (Thomson Reuters Foundation) – Akiwa na wasiwasi kwamba ukame ungeharibu zao lake mnamo mwaka wa 2000, mkulima Jonathan Kituku Mung’ala alikumbuka kukutana na wateja wa kilimo alipokuwa akifanya kazi katika kampuni ya umeme ya Kenya, ambao walitengeneza hela nyingi kwa upanzi wa aina ya mti madhubuti asili.