Mashamba Elea ya Samaki Yahatarisha Ziwa Victoria
A sentry box at Dunga Beach inside Lake Victoria. Cage fish farmers have engaged a sentry to guard their investment.

Ilianza kama suluhisho kwa udidimiaji mkubwa wa idadi ya samaki ndani ya Ziwa Victoria, hata hivyo, umaharufu wa ukuzaji samaki kizimbani sasa watisha kuleta mathara ya kimazingira. Shughuli hii huenda ikathuru mazingira ya ziwa, kwa vile hakuna kanuni ya kuisimamia.