Nchi yajitahidi kuendeleza mradi wa kimazingira

Baolojia yatueleza kuwa maisha huletwa kwa kujumuika pamoja. Hakuna kinachoweza kusimama peke yake. Hata mawanadamu ambaye anao uwezo mkubwa wa kudhibiti mazingira, hawezi ishi bila mimea na wanyama, kwa vile maisha hayawezekani bila utegemeano. Hivyo, nchi ya Uhabeshi imekuwa ikiendeleza mradi wa kimazingira ambayo itazipa nguvu juhudi za kitaifa na kimataifa za kuhifadhi mazingira