Mabadiliko ya Tabia Nchi Yathuru Pato la Mataifa Yanayotegemea Kilimo kwa Uchumi Wao
Marine life faces challenges from warming waters and ocean acidification as a result of climate change. Photo by Fredrick Mugira

GEORGE MHANGO, in Zanzibar

Mafuriko ya ghafla na hali ya hewa katika nchi nyingi Afrika ndani ya eneo la Maziwa Makuu, yaelekea kuthuru pato la taifa katika nchi ambazo chumi zao zinategemea kilimo, ikiwa nchi hazitashirikiana kutafuta suluhisho la pamoja.

Tayari, Malawi na Uganda, nchi ambazo hazina na bandari, zinaathirika kwa njia moja au ingine.