Miji Africa zajitolea kupunguza kiwango cha kaboni hewani kufikia sufuri, itakapowadia mwaka wa 2050

Miji Africa zajitolea kupunguza kiwango cha kaboni hewani kufikia sufuri, itakapowadia mwaka wa 2050

Katika mkutano mmoja nchini Nigeria wiki hii, miji tisa za Africa zilijitolea kupunguza kiwango cha kaboni hewani hadi sufuri katika miongo mitatu ijayo.

Miji hii inajumuisha miji mikuu Africa kama vile Accra, Cape Town, Lagos na Johannesburg.

Adjei Sowah, Meya wa jiji la Accra alisema wakaaji jijini mwake “waendelea kuwa na ufahamu” kuhusu maswala ya mabadiliko ya taianchi.

Like this article?

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on Linkedin
Share on Pinterest
Share on Telegram
Share on WhatsApp

Leave a comment

Related Posts