Mafuriko Lawalazimu Watu 98,000 Kuhama Kutoka Eneo la Somali

Mafuriko makubwa huko Shabelle ndani ya eneo la Somali nchini Uhabeshi, limewaathiri watu 162,000 na kuwalizimu watu 92,000 miongoni mwao kuhama mwezi wa Mei. Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoratibisha maswala ya kibinadamu nchini Uhabeshi, ilibainisha kwamba mafuriko, yaliyosababishwa na mvua nyingi, yaliharibu manyumba 5,000.